0






 Leo ni kilele cha maadhimisho
ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani.

Kwa Tanzania yalizinduliwa na Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu hapo Agust
1 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam.

Waziri Ummy alizindua programu ya M-Nutrition






Maadhimisho haya yamefanyika wiki
nzima katika Halmashauri zote hapa nchini amabpo kwa Babati yalifaadhimishwa
katika kata ya Sigino mtaa wa Singu na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali
akiwemo afisa tarafa ya Gorowa Emiliana Matei.






 Mwanzo bora wakishirikiana na Max Net wamewahamasisha wakina mama kunyonyesha kwa miezi sita ya mwanzoni ili mtoto akue vizuri.
KAULI MBIU:SOTE KWA PAMOJA TUENDELEZE UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA.

Post a Comment

karibu kwa maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top