0
Mkuu wa mkoa wa Manyara Dk.Joel Bendera alizungumza na chemba ya wafanyabiashara,wenye viwanda na wakulima mkoani Manyara.

Alizungumza mambo mengi lakini hakusahau kuwakumbusha wafanyabiashara kuhusu kulipa kodi kwa wakati ili kukuza uchumi wa Manyara na Taifa kwa ujumla.
Lakini pia Mambo makubwa ya kufungua fursa ya ajira kwa vijana wengi mkoani hapa yalizungumzwa na utekelezaji wake unatarajiwa kwenda kuanza.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top