0
I had an opportunity to minister through manyara fm to the people of Manyara when i was at Babati, Thanks to my Brother JOHN_WALTER.
Alisema tangu atoe wimbo wake unaoitwa Nakupenda akiwa ameimba kwa Lugha mbili,Kiingereza na Kiswahili amezidi kuongeza wafuasi wanaopenda kazi anayoifanya ya kutangaza neneo la Mungu kwa njia ya uimbaji.
Aidha Aggrey amewataka vijana kuachana na anasa za dunia na badala yake wafanye yale ya kumpendeza Mungu kwani duniani ni njia.
Akitoa ushuhuda wake akizungumza na mtangazaji wa Manyara Fm John Walter kwenye kipindi cha Lulu ya Injili,amesema tangu aokoke ameona Mungu akimtendea miujiza mingi ikiwa ni sambamba na kufanikiwa kwa kila anachokihitaji.
Msanii huyu anazo nyimbo nyingi na kwa sasa anatamba na wimbo wake unajulikana kama NAKUPENDA.
Image may contain: 2 people, people smiling, indoor
Image may contain: 1 personJJJGGHGGHJJJHA
Image may contain: 2 people, people smiling, indoor
Image may contain: 2 people, people smiling

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top