Mbrazili huyo alitengeneza kiasi cha euro million mia mbili mwezi Agasti mwaka huu baada ya kujiondoa kwenye mkataba wake na Barcelona
Barcelona sasa imemtaka Neymar kurudisha marupu rupu aliyokuwa akipokea baada ya kusign upya mkataba wake kwa kuwa hajatimiza muda wa mkataba vile vile Barca imetaka asilimia 10 zaidi kwa kucheleweshwa malipo hayo .
Post a Comment
karibu kwa maoni