0
SALAMBA BAADA YA KUSAINI TY SIMBA KAONYESHA GARI LAKE. SALAMBA BAADA YA KUSAINI TY SIMBA KAONYESHA GARI LAKE.

Adam Salamba ameonyesha mchuma wake mpya siku moja tu baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa wa Tanzania Bara,...

Read more »endelea

0
LIGI KUU IMEKWISHA,HAYA NDIO MAMBO YA KUJIULIZA. LIGI KUU IMEKWISHA,HAYA NDIO MAMBO YA KUJIULIZA.

Baada ya jana pazia la ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2017/18 kufungwa, limeacha timu mbili za Majimaji na Njombe Mji zikiaga ligi k...

Read more »endelea

0
YANGA YAPANGA SIKU YA MKUTANO MKUU WA KLABU. YANGA YAPANGA SIKU YA MKUTANO MKUU WA KLABU.

Uongozi wa Yanga umetangaza rasmi tarehe mpya ya kufanyika kwa mkutano mkuu wa klabu hiyo ambayo ni Juni 10 2018. Awali uongozi ulitanga...

Read more »endelea

0
MWANAFUNZI CHUO CHA SAUT AJINYONGA BAADA YA LIVERPOOL KUFUNGWA NA REAL MADRID. MWANAFUNZI CHUO CHA SAUT AJINYONGA BAADA YA LIVERPOOL KUFUNGWA NA REAL MADRID.

Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo kikuu cha ‘St. Augustine’ kampasi ya Mbeya Moses Mashaka amejinyonga mara baadaya timu yake ya Liverpo...

Read more »endelea

0
LIGI KUU TANZANIA BARA OVER LEO,NDANDA NA MAJI MAJI NANI ANABAKI MSIMU UJAO??? LIGI KUU TANZANIA BARA OVER LEO,NDANDA NA MAJI MAJI NANI ANABAKI MSIMU UJAO???

Pazia la Ligi Kuu linafungwa usiku wa leo Jumatatu ya Mei 28, kwa mechi nane, Yanga SC wakimenyana na Azam FC Uwanja wa Taifa mjini Dar es ...

Read more »endelea

0
BAADA YA LIGI  YA MABINGWA MIKOA 2017/2018 KUKAMILIKA,TIMU ZILIZOPANDA  HIZI HAPA. BAADA YA LIGI YA MABINGWA MIKOA 2017/2018 KUKAMILIKA,TIMU ZILIZOPANDA HIZI HAPA.

Kikosi Cha Mabingwa wa Soka Mkoni Manyara 2017/2018 Usalama Sports Club katika mitaa ya Babati mjini wakishangilia baada ya kupanda ligi ...

Read more »endelea

0
MO SALAH AWAGOMEA REAL MADRID. MO SALAH AWAGOMEA REAL MADRID.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Liverpool, Mmisri, Mohammed Salah, amesema hatoweza kujiunga na Real Madrid kutokana na mchezo ambao si wa k...

Read more »endelea

0
MASHABIKI WA LIVERPOOL WATINGA KIEV. MASHABIKI WA LIVERPOOL WATINGA KIEV.

Mashabiki wa Liverpool wameendelea kusafiri umbali mrefu kutoka Uingereza kwenda Kiev. Kwa ajili ya fainali ya klabu bingwa ulaya dhidi ...

Read more »endelea

0
AfDB YASISITIZA NIA YA KUFADHILI MRADI WA KUONGEZA MNYORORO WA THAMANI WA MAZAO AfDB YASISITIZA NIA YA KUFADHILI MRADI WA KUONGEZA MNYORORO WA THAMANI WA MAZAO

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kufadhili mradi wa Kuongeza Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Chakula ili kuunga mkono jitiha...

Read more »endelea

0
YANGA YAKUBALI KUBANWA  NA RUVU SHOOTING UHURU. YANGA YAKUBALI KUBANWA NA RUVU SHOOTING UHURU.

  TIMU ya Yanga SC imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja ...

Read more »endelea

0
ALI KIBA NA SAMATTA NANI ATATISHA TAIFA JUNE 9? ALI KIBA NA SAMATTA NANI ATATISHA TAIFA JUNE 9?

Mwanamuziki wa Bongo fleva Ali Kiba anayeendelea kufanya vyema na ngoma yake ya ‘Mvumo wa Radi, atapimana nguvu na mchezo soka la ku...

Read more »endelea

0
USALAMA SC YAWEKA REKODI BABATI,YATINGA DARAJA LA PILI,YAFANYA MAPOKEZI ... USALAMA SC YAWEKA REKODI BABATI,YATINGA DARAJA LA PILI,YAFANYA MAPOKEZI ...

Wafunga buti wa mji wa Babati timu ya soka ya Usalama wamepokelewa kwa shangwe mjini Babati mkoani hapa baada ya kuwasili wakitokea mkoani...

Read more »endelea

0
KURUGENZI CUP 2018 NI UZALENDO TU YAWAENDEA VIZURI DONGOBESH. KURUGENZI CUP 2018 NI UZALENDO TU YAWAENDEA VIZURI DONGOBESH.

  Timu ya soka ya Dongobesh fc imetwaa ubingwa wa kombe la kurugenzi baada ya kuifunga timu ya Rema 1,000 fc mabao 3-1 kwenye mchezo wa ...

Read more »endelea

0
LIGI YA UJIRANI MWEMA YAANZA KUTIMUA VUMBI VETA MANYARA. LIGI YA UJIRANI MWEMA YAANZA KUTIMUA VUMBI VETA MANYARA.

Mwenyekiti wa chama cha soka wilaya ya Babati Gerald Mtui alihudhuria katika ufunguzi wa ligi hiyo. YOUNG BOYS imeanza vyema mashindano...

Read more »endelea
 
 
Top