Tume ya Uchaguzi (NEC) imefanya uteuzi wa Madiwani 12 wanawake wa viti
maalum baada ya kukaa kikao chake na kushauriana na Vyama vya Siasa
kujaza nafasi zilizokuwa wazi za Madiwani katika Halmashauri mbalimbali
Tanzania Bara.
Uteuzi
huu umefanyika leo baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Waziri mwenye
dhamana ya serikali za Mitaa ambaye kwa kuzingatia masharti ya kifungu
cha 13(1) cha Sheria ya Uchaguzi ya serikali za Mitaa, Sura ya 292
aliitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi uwepo wa nafasi hizo zilizokuwa
wazi.
Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
Post a Comment
karibu kwa maoni