0
Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ limeanza kutekeleza agizo la Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli la kujenga ukuta na kuweka kamera katika eneo linalopatikana madini ya Tanzanite Mererani.
Meja Jenerali Michael Isamuyo ametua Mererani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara kwa Helkopta na kukagua maeneo ambayo ukuta utaanza kujengwa mara moja.
 Wachimbaji na wananchi wa Manyara wamefurahia na kuahidi kutoa ushirikiano.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top