0






Kwa mwaka
huu mkoa wa Manyara mahujaji wawili kutoka wilaya ya Babati walipata nafasi ya
kwenda kutimiza nguzo hiyo kuu na muhimu ya dini ya kiislam,ambao ni Alhaji
Sheikh Shabani Msii pamoja na Alhaji Sheikh Nuhu Ibrahim Ngaso ambapo
wamewataka waislamu na wasio waislamu kutenda yale ya kumpendeza Mungu.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top