0
September 20, 2017 Taarifa kutoka Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa siku za hivi karibuni kumeibuka tabia kwa baadhi ya Wanasiasa na wananchi kulishambulia Bunge na viongozi wake kwa kutoa maelezo potofu kwamba Bunge la Kumi na Moja halina meno, halitekelezi wajibu wake ipasavyo na kwamba limetekwa na Serikali.
Aidha, taarifa hiyo imesema kuwa kwa kutumia lugha za kejeli, matusi na uchochezi watu watu hao wamekuwa wakilikebehi Bunge na Viongozi wake.


Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top