0






Imeelezwa
kuwa mtu akikamatwa na madawa ya kulevya aina ya mirungi kuanzia kilo 70 na
kuendelea adabu yake inafanana na ya mtu aliyeua ambayo ni kifungo  Cha Maisha.
Hayo
yameelezwa na afisa wa polisi kitengo cha kupambana na dawa za kulevya
anayehusika na kesi za upelelezi za madawa ya kulevya  Kwiye Dangoye alipokuwa akizungumza na vijana
zaidi ya 400 waliojitokeza kupatiwa elimu juu ya athari za  matumizi ya dawa hizo hatari Bonga mjini
Babati.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top