0
Mbunge wa Mtama kwa tiketi ya CCM Nape Mosses Nnauye alizungumza maneno
haya wakati mwandihi alipotaka kupata majibu baada ya Nape kuandika
kwenye akaunti yake ya Twitter akidai amenukuu kutoka kwa wananchi wake
kuwa wananchi wa jimbo lake wanahoji kuwa ndege ya serikali aina ya
Bombadier Inayodaiwa kuzuliliwa nchina Canada huku wapinzani wakizua
mjadala kuhusu ndege hiyo itawasaidia nini wao wananchi?

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top