0
Ujenzi wa barabara kuu  ya kuanzia Cape town Nchini Afrika kusini hadi Cairo Nchini Misri kupitia Dodoma (Mayamaya) hadi Mela Bonga  Babati Mkoani Manyara katika hatua za mwisho za kukamilisha ujenzi huo eneo la Bonga Babati.

Mkazi wa Manyara akicheza kuonyesha kufurahishwa na ujenzi wa Bara bara hiyo.

Kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Bonga-Mela (88.8KM) kwa kiwango cha lami katika barabara kuu ya Babati–Dodoma itaunganisha mikoa ya Dodoma na Manyara
picha na WALTER HABARI

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top