#Anaandika Suleimani Ussi kutoka Zanzibar.
Kamati ya centrali taifa imefurahi sana baada ya kupokea taarifa ya kushiriki katika ligi kuu ya beach soka kwa upande wa vijana wanaoshiriki katika mashindano ya vijana jivanili, junio, na centrali akizungumza na kipindi hiki katibu mkuu wa centrali taifa Abdallah thabiti dulla sande amesema wazee wawape fursa watoto wao kushiriki katika mchezo huo pia katibu huyo amezungumzia suala zima la ligi ya mabingwa inayoendelea kuchezwa katika viwanja tofauti zaidi dulla sande anaelezea zaidi.
Kipute cha ligi kuu ya Zanzibar kanda ya unguja kesho itachukuwa nafasi yake ya mzunguko wa tatu kwa kupigwa michezo miwili majira tofauti majira ya saa8 za mchana MAFUNZO vs TAIFA YA JAN’GOMBE na saa 10 za jioni JKU vs MIEMBENI CITY.
Mashindano ya mkombozi cup yanaendelea vyema kuchezwa ktika viwanja tofauti huku baadhi ya timu zikiwa zimejitoa katika mashindano hayo akizungumza na kipindi hiki mratibu wa mashindano hayo Aliy mwinjuma amesema changamoto mbali mbali wanazipata katika mashindano hayo.
Post a Comment
karibu kwa maoni