Mwenyekiti
wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi Taifa ya Chama Cha ACT Wazalendo
Samson Mwigamba ameng'atuka nafasi yake hiyo katika chama hicho na
kubaki mwananchama wa kawaida kwa madai ya kuwa ameona kuna mambo ndani
ya chama hicho hayaendi sawa.
Mwigamba
amedai kuwa amejitahidi sana kuongea na viongozi wakuu wa chama hicho
kuhusu mambo mbalimbali lakini ameona yamekuwa hayatendeki wala
kufanyiwa kazi hivyo ameamua kufanya maamuzi hayo ili kuto pingana nao
bali ameamua kubaki kama wanachama wa kawaidia ili aweze kupata nafasi
ya kuhoji baadhi ya mambo ndani ya chama.
Post a Comment
karibu kwa maoni