Dk Joel Nkaya Bendera amefariki ikiwa ni mwezi mmoja tu tangu kustaafu
utumishi wa serikali akiwa mkuu wa mkoa wa Manyara ambapo alimpisha Alexender
Pastory Mnyeti.
Dk.Bendera aliwahi pia kuwa Naibu
Waziri wa Michezo wakati wa Serikali ya awamu ya nne, chini ya Rais Jakaya
Mrisho Kikwete.
Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi Amin.

Post a Comment
karibu kwa maoni