0
Ligi  daraja la nne ngazi ya wilaya  inaendelea katika uwanja wa Galapo wilaya ya Babati mkoani Manyara.
Ligi hiyo imeanza rasmi desemba 4 na kuwakutanisha Mashujaa sports Club [BM SC]ya Babati mjini dhidi ya Town Boys ya Galapo mchezo ambao ulimalizika kwa Bm Sc kupata bao 3-1Town Boys.
Leo wamekutana Mrara Fc ya Babati mjini na Kariakoo Fc ya Gidas mchezo uliomalizika kwa Mrara Fc 2-0 Kariakoo Fc.
Msimamo huu hapa

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top