0
Aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Manyara  Dr. Joel Bendera ambaye amefariki tarehe 6 Desemba 2017 atazikwa Jumapili nyumbani kwake wilaya ya Korogwe mkoani Tanga.

Mapema mwezi Agosti mwaka huu katika ukumbi wa mkoa wa Manyara uliopo mjini Babati wakati akimkaribisha mkuu mpya wa mkoa Alexender Pastory Mnyeti alisisitiza uwajibikaji kwa watumishi na kuwatembelea wananchi kutatua matatizo yao.

Amefariki akiwa na umri wa miaka 67.

Mungu ampumzishe kwa amani mahali pema peponi Amin.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top