0
Mrajisi wa vyama vya ushirika mkoa wa Manyara Venance Msafiri akitoa mada katika mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Mrajisi wa vyama vya ushirika nchini na mtendaji mkuu wa tume ya maendeleo y ushirika,TitoHaule amewataka watumishi wa tume kuaacha kuafanya kazi kwa mazoea na badala yake wawe wabunifu na kujituma zaidi ili kupata matokeo mazuri katika kazzi wanazozifanya.
Mrajisi mkuu wa vyama vya ushirika Tanzania Tito Haule katika mkutano mkuu wa chama hicho mjini Dodoma.
Mrajisi ametoa wito huo katikan mkutano wa watumishi wote wa tume ya maendeleo ya ushirika makao makuu na wawakilishi kutoka mikoani uliofanyiaka novemba 29n2017 mjini Dodoma.
Mkutano huo ulikuwa mahususi kwa ajili ya kutathmini utendaji kazi wa tume kwa mwaka mmoja toka Bwana Tito Haule alipoteuliwa kuwa mrajisi wa vyama vya ushirika nchini na mtendaji mkuu wa tume ya maendeleo ya ushirika mwezi septemba 29,2016.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top