Hawa ni wanachama wa chama cha Mapinduzi katika mkutano maalum wa kumtangaza kiongozi mkubwa wa upinzani anaekihamia chama hicho katika ukumbi wa wa Checkpoint Pugu ambapo Chama cha
Mapinduzi CCM kimesema kuwa ni kiongozi mkubwa kutoka upinzani anayetokea
katika mkoa wa DSM anaepokelewa na Mzee Mangula Makamu wa Mwenyekiti wa CCM
Bara. .
Post a Comment
karibu kwa maoni