Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa, JKT kwa kujenga ukuta unaozunguka mgodi wa Tanzanite na mji mdogo wa Mirerani kwa muda mfupi.
Ukuta huo ulioagizwa kujengwa na Rais John Magufuli umeelezwa kukamilika kwa aslimia 92 hadi sasa.
Post a Comment
karibu kwa maoni