Vijana
43 wameanza kambi ya wiki mbili itakayomalizika Januari 21, 2018 kambi
hiyo ni maandalizi ya timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17
Serengeti Boys, kambi hiyo ipo kwenye hostel zilizopo Makao Makuu ya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Karume, Ilala Dar es
Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
karibu kwa maoni