Watanzania
wawili, Baraka Malali na mkewe Ashura Musa wamekamatwa nchini China
wakiwa wamemeza kete 129 za dawa za kulevya wakiwa na mtoto wao wa miaka
2 na miezi 9 ambaye amerudishwa nchini leo. Baraka alikuwa amemeza kete
47 na Ashura kete 82.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
karibu kwa maoni