0
Ligi yenye msisimko mkubwa mkoani Manyara Ligi daraja la tatu bado inazidi kutandazwa katika uwanja wa chuo cha VETA Nangwa wilaya ua Hanang mkoani Hapa.

Licha ya ratiba kubana Timu zote takribani kumi zinazoshiriki michuano hiyo zinaonyesha ushindani mkubwa huku zikiwa na pointi zinazokaribiana.

Matokeo ya jana Red Star 0-4 Halmashauri,Morning Star 1-3 Bm Fc.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top