Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison
Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo
cha michezo Malya.Aidha, Dkt. Mwakyembe amewateua wajumbe wapya nane wa bodi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison
Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo
cha michezo Malya.
Post a Comment
karibu kwa maoni