0

HIZI NI PICHA ZA SHOW YA DARASA TAREHE 23 DESEMBA 2016 MJINI BABATI CLUB LAVISTA.


Santuri Show


Darasa akiwarusha mashabiki wake mjiji babati usiku wa demba 23, 2016

Kila mmoja alitamani kupiga picha na darasa lakini haikuwezekana kwa jam kubwa iliyokuwepo.
Msanii huyo wa mziki aina ya hip hop ameanza kupendwa na kuongeza mashabiki wengi baada ya kutoa kama utanipenda,too much na sasa muziki.

Show hiyo iliyoandaliwa na said kopwe maarufu side entertainment ilihudhuriwa na mamia ya mashabiki wa mziku wa msanbii huyo ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha muziki,wimbo aliomshirikisha ben paul.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top