Askari mmoja wa Jeshi la Magereza, Said Mganda wa gereza la Mkwaya, Mbinga anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu.
Kutokana na tukio hilo Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 15 amelazimika kufukuzwa shule kutokana na ujauzito huo.
Post a Comment
karibu kwa maoni