![]() |
| Hii ndio zahanati Kijiji cha Kiongozi inayotumika sasa. |
![]() |
| Zahanati ya zamani ambayo inatumika mpaka sasa katika kijiji cha Kiongozi Halmashauri ya mji wa Babati. |
![]() |
| Upande wa Nyuma kama unavyonekana. |
Jengo hili la zahanati katika kijiji cha Kiongozi linaendelea kujengwa na lilizwekwa jiwe la msingi na kiongozi wa mbio za mwenge ndg Juma Khatibu miaka miwili iliyopita.
![]() |
| Ikikamilika itwasaidia wanakijiji wa Kiongozi kupata huduma za afya karibu na kwa uhakika. |









Post a Comment
karibu kwa maoni