Kubwa ni kwamba mshindi katika mchezo wa leo ameaidiwa gari hili la kifahari.
Mchezo huu wa fainali ya UEFA Champions League msimu wa 2016/2017 unapigwa katika uwanja wa Millenium jijini Cardiff nchini Wales.
Huu ni mchezo ambao una mvuto wa hali ya juu kutokana na historia ya michuano hiyo ambayo ni mikubwa barani Ulaya, kuelekea game hiyo beki wa Juventus Dani Alves ameweka wazi zawadi waliyoahidiwa na Rais wa club yao.
Post a Comment
karibu kwa maoni