Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango
(Mb), pamoja na Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), pamoja na Naibu Waziri
wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya (Mb), wakiwa
katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Bustani kilichoko
wilayani Kondoa mkoani Dodoma, walipotembelea bungeni mjini Dodoma, siku ambayo
Bunge limepitisha kwa kishindo Bajeti ya Sh. trilioni 31.7 kwa Mwaka wa Fedha
2017/2018.
|
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa
Serikali Bw. Doto James (wa nne kulia-mbele), akiongoza Vongozi waandamizi wa
Wizara ya Fedha na Mipango kufuatilia tukio la Wabunge wakipiga kura kupitisha
Bajeti Kuu ya Serikali ya shilingi trilioni 31.7, Bungeni Mjini Dodoma. |
Post a Comment
karibu kwa maoni