0
Ulikuwa ni mchezo wa vuta nikute uliopigwa katika uwanja wa Cardiff fainali iliyokuwa na msisimko.
Juventus wanatoka uwanjani wakibubujika machozi kwa kukosa ubingwa huo,Real Madrid full Shangwe bao 1-4.
WAFUNGAJI
Real Madrid


Asensio 90

 Juventus
Mandžukić 27
Kadi za njano zilitembezwa sana leo kama pipi,dakika ya 85...juventus 1-3 real madrid
Mchezaji namba 7 mgongoni wa juventus Juan guadrado anapigwa kadi nyekundu kwa kucheza rafu.
SIKILIZA MCHEZO MZIMA  HAPA


Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top