0
Binti wa miaka 16 aliepotea,Julian Cusbeth kulia akiwa na pacha wake katika picha.
Julian Cusbeth mwenye umri wa miaka 16 mwanafunzi wa shule y Msingi Galapo wilayani BABATI mkoani Manyara hajulikani halipo tangu jana March 29.2018 baada ya kuachwa Stendi ya Babati.
Kwa mujibu wa mama yake mzazi mtoto huyo ambaye  ana matatizo ya akili mara ya mwisho alionekana mtaa wa Nyunguu akiwa amevaa sketi ya rangi ya udongo,tshirt rangi blue mpauko na sweta la Track rangi  Nyeusi.
 kwa atakae muona awasiliane na mama wa mtoto kwa simu namba 0784 633 834.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top