Mambo 11 mhimu ya kuzingatia unapokuwa na
shinikizo la juu la damu:
- Ongeza kiasi cha unywaji maji na chumvi kila siku
- Kula nyama isiyo na mafuta mengi
- Ongeza kula vyakula visivyokobolewa
- Kula zaidi matunda, mboga za majani, karanga na maharage
- Punguza vyakula vya viwandani vinavyoongezwa sukari nyingi
- Punguza vyakula vyenye lehemu au kolesteroli nyingi
- Acha kuvuta sigara na tumbaku za aina zote
- Acha kunywa pombe
- Dhibiti uzito wako, hakikisha una uzito unaopaswa kuwa nao kwa mjibu wa urefu wako
- Punguza mfadhaiko au stress
- Fanya mazoezi ya viungo hasa mazoezi ya kukimbia kila siku na kama kukimbia kimbia huwezi basi kutembea kwa miguu masaa mawili kwa siku inatosha kabisa.
Post a Comment
karibu kwa maoni