Kwa kujali
na kuthamini mwezi Mtukufu wa Ramadhani mkuu wa mkoa wa Manyara Dk Joel Nkaya
Bendera amewaalika waumini wa dini ya kiislamu nyumbani kwake kupata futari ya
pamoja.
Kwa upande
wa shehe mkuu wa mkoa wa Manyara Kadidi amewataka watanzania kuendelea
kuidumisha amani iliyopo hapa nchi kwa kutenda yale yaliyo mema.
Mkuu wa mkoa
wa MANYARA Dk Joel Bendera alichukuaa nafasi hiyo kuwashukuru viongozi wa dini
kwa kuendelea kufanya maombi na kusaidia kupunguza matendo y uhalifu ndani ya
mkoa wa Manyara.
Post a Comment
karibu kwa maoni