Kama ni shabiki wa soka la Bongo hususani
Dar es salaam Young Africans najua utakuwa umfahamu shabiki maarufu wa Yanga ambaye amekuwa na utamaduni wa kuifuata timu mahali popote inapokwenda
Ally Yanga.

Taarifa ya kusikitisha iliyonifikia kuhusiana na
Ally Yanga ni kuwa amefariki dunia katika ajali ya gari
Dodoma eneo la Ipogolo,
Ally Yanga imeripotiwa kuwa alikuwa katika mbio za Mwenge.


Post a Comment
karibu kwa maoni