
Rais
amesema kuwa, ni lazima watu waelewe maneno hayo alizungumza akiwa
mahali gani, aliyazungumza kwenye mkutano wa hadhara Zanzibar.
Rais
amempongeza kiongozi huyo, akisema yeye ni mstaarabu na ni mtu
anayejielewa hivyo anafahamu kabisa kuwa nafasi hiyo aliyompa ataweza
kuitumikia vyema.
Wakati
huo huo, Rais Magufuli alisema kuwa, wapo wabunge wa CHADEMA ambao
wamekuwa wakimuomba awateue lakini yeye amewakatalia kwa sababu anataka
upinzani uendelee kuwepo.
==>Msikilize hapo chini
==>Msikilize hapo chini
Post a Comment
karibu kwa maoni