0
Diwani kata ya Maisaka Halmashauri ya mji wea Babati mkoani Manyara Abrahaman Kololi mwenyekiti wa kamati ya usafi wa mazingira ya mji amezungumzia  mashindano ya michezo mbalimbali iliyoandaliwa na jeshi la polisi mkoani Manyara maarufu Kama USALAMA CUP.
Michezo hii inaenda sambamba na kauli Mbiu TII SHERIA BILA SHURUTI,TUNZA MAZINGIRA,PINGA UJANGILI NA KUPINGA MIMBA ZA UTOTONI.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top