0

Michuano ya Usalama Cup 2017 iliyoandaliwa na jeshi la polisi chini ya kamanda wa polisi Francis Jacob Masawe ambaye kwa sasa amehama imeshakamilika katika hatua ya robo fainali huku tukishuhudia vurugu za hapa na pale kati ya mashabiki wa Stand United na Polisi waliokuwa wakilinda Usalama katika uwanja wa Kwaraa mjini Babati.
Robo fainali ya mwishi walikutana wenyeji Usalama Fc dhidi ya Stand United ya Babati mjini ambapo mpira ulimalizika kwa mikwaju ya penati.
Katika mikwaju hiyo ya penati Usalama walipata 3huku Stand United wakipata 4 na kuwanyayua mashabiki wao zaidi ya elfu moja waliokuwa uwanjani hapo.
Mwalimu anaeinoa Usalama Fc anasema huo ni mchezo tu na wamekubaliana na matokeo hayo na kwa sasa ataendelea kujipanga kwa michuano mingine.
Ligi hiyo itaendelea tena jumatano ya wiki hii hapa  ambapo  watakuwepo Veta Manyara,Kariakoo,City Boys na Stand United.
Hii hapa ni ratiba ya nusu fainali.


RATIBA YA HATUA YANUSU FAINALI , MSHINDI WA TATU NA FAINALI LIGI YA MKUU WAPOLISI MANYARA – USALAMA CUP 2017
Tarehe
NUSUFAINALI
MECHI NAMBA
UWANJA
MUDA
18/10/2017
WINNER MATCH NO 25
VS
WINNER  MATCH NO 26

29
4:00PM
KWARAA
19/10/2017
WINNER MATCH NO. 27
VS
 WINNER MATCH NO 28

30
4:00PM
KWARAA


MSHINDI WA TATU


4:00PM
KWARAA
22/10/2017
LOOSER MATCH NO 29
 VS
LOOSER MATCH NO 30

31
2:00PM
Mchana
KWARAA
22/10/2017
FAINALI


KWARAA
WINNER MATCH NO 29
 VS
WINNER MATCH NO 30

32
4:00PM
KWARAA

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top