0
#Anaandika Suleiman Ussi Kutoka Zanzibar
Image result for RIADHA KM 10 
Mbio za kmkm 10 km zinatarajia kufanyika siku ya jumapili tarehe 29 mwezi /10/ mbio hizo kila mwaka ifikapo oktoba 29 kikosi cha kmkm kupitia club yake ya michezo huandaa mbio za kilomita kumi lengo la mbio hizo ni kujenga mahusiano ya karibu kati ya kmkm na jamii katika kuleta maendeleo ,amani,upendo na kuinua vipaji vya wanamichezo pia kuitangaza Zanzibar kitaifa na kimataifa kupitia mchezo wa riadha akizungumza na wanahabari mkuu wa mafunzo na michezo kmkm CDR HUSSEIN MOHD SEIFU amesema mbio hizo zitaanzia  makao makuu kibweni na kumalizikia maisara mgeni rasmi katika mbio hizo atakuwa ni mkuu wa koa mjini magharib Ayoub Moh’d Mahamud.
Kiupande wake nae mwenyekiti wa riadha Zanzibar abdull hakimu kosmasi amekipongeza kikosi cha kmkm kwa kuanzisha mbio hizo kosmasi amesema mbio hizo husaidia sana kuinua vipaji vya riadha pia mwenyekiti huyo amemzungumzia mwanariadha Aliy Gullam kuwa jana wamepokea viza ya Aliy Gullam kutoka BRUNEI  kwajili ya kwenda kufanya mazoezi kwa muda wa miezi 6 .
Nae mwanariadha Aliy gullam amesema kiupande wake nafasi hiyo ameipokea vizuri n sana kwani alistahiki kiupata na amewaahindi wazanzibari ataenda kuiwakilisha vizuri Zanzibar huko brunei .. 
Wakati huo huo 
Mashindano ya basketball kanda ya unguja maandalizi yanaendelea vyema na huenda yakaanza rasmi tarehe 21 mwezi huu  timu mbali mbali tayari zimeshathibitisha kuingia katika ligi hiyo akizungumza na kipindi hiki katibu wa basketball amesema timu ya mbuyuni kwa upande wa wanaume ilifanya utovu wa nidhamu katika ligi ya UBA imesimamishwa kwa muda wa miaka mitatu  na kupigwa faini isishiriki ligi yoyote ya basketball .

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top