0
Mheshimiwa mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Manyara Ester Mahawe ameyazungumza hayo wakiwa kwenye  maadhimisho ya wiki ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa umoja wa
wanawake wa CCM Tanzania  [UWT] amabpo pia walitembelea wodi ya Mama na mtoto katika hospitalia ya mji wa Babati Mrara.

Mahawe amesema bado changamoto ni nyingi sana katika hospitali hiyo akiitaka serikali iongeze vifaa tiba,Madawa na wahudumu katika wodi hizo ili kuongeza ufanisi wa kuwahudumia kina mama na watoto.
Mheshimiwa Mahawe aliitembelea shule ya Sekondari Bagara Babati mjini na kuwapatia madaktari huku wanafunzi wa kike 350 wakipatiwa taulo kwa ajili ya usafi.
Baadaye alikwenda Hanang ambapop huko alizungumza na wananchi na kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vikundi vya Vikoba 15.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top