0
Kujivua katika nafasi mbalimbali za uongozi katika Chama cha Mapinduzi na kujiondoa kabisa katika chama hicho tawala kimewashtusha wengi.



Wakizungumza kwa masharti ya kutotajwa majina yao baadhi ya wananchi wakazi wa mji wa Babati wamesema kuwa huenda mbunge huyo ameammua kuondoka chama hicho na kuahamia chama pinzani,Chama cha Demokrasia na Maendeo [CHADEMA] kwa lengo la kupata nafasi ya kugombea nafasi ya urais kupitia Chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2020.



Ikumbukwe kuwa tangu
mwaka 2012, Nyalandu amekuwa akisisitiza kuwa Rais Barack Obama pamoja na
uongozi mzima wa Marekani, wanataka ashike nafasi hiyo kubwa kwa kile anachosema
wanaridhishwa na kipaji chake cha uongozi.




Awali, waziri huyo anayetajwa kuwa wakala wa taifa hilo lenye ushawishi mkubwa
duniani, alitoa kauli hiyo kwenye hafla iliyoshirikisha watu walio karibu naye.


Mwaka 2015 alijaribu kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais kupitia CCM lakini hakufanikiw kupitishwa na kamati ya chama hicho. 

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top