0

Image result for mount meru university
Mbunge Ester Mahawe na rafiki zake.
Mbunge Ester Mahawe na rafiki yake katika picha ya pamoja.

Wikiendi hii chuo kikuu cha Mount Meru kilichopo Ngaramtoni mkoani Arusha kilifanya mahafali kuwaaga wanafunzi wanaohitimu level ya Degree.
Watu wakubwa walioudhuria mahafali hayo ni pamoja na Mbunge wa mkoa wa Manyara [CCM] Mheshimiwa Ester Mahawe na kuwapongeza wale wote waliohitimu katika ngazi hiyo ya Degree.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top