0
Delight ni msanii wa kizazi kipya nchini Tanzania anekuja vizuri kabisa katika soko hili la muziki wa kisasa wanaoupenda watanzania.
Hii ni ngoma yake ya kwanza kuingia studio na kurekodi inaitwa Chukua,ndani mashairi yaliyokwenda shule yamesikika.


Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top