0
Anaandika Suleiman Ussi Kutoka Zanzibar
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes),Hemed Suleiman (Morocco) ametangaza kikosi cha wachezaji 30 kwa ajili ya maandalizi ya kujiandaa ma Mashindano ya CECAFA Chalenj CUP yanayotarajiwa kufanyika Novemba 25 hadi Disemba 9, 2017 nchini Kenya.

WALINDA MLANGO
Ahmed Ali "Salula" (Taifa ya Jang'ombe)
Nassor Mrisho (Okapi)
Mohammed Abdulrahman "Wawesha" (JKU)

WALINZI
Abdallah Haji "Ninja" (Yanga)
Mohd Othman Mmanga (Polisi)
Ibrahimm Mohammed "Sangula" (Jang'ombe Boys)
Adeyum Saleh "Machupa" (Kagera Sugar)
Haji Mwinyi Ngwali (Yanga)
Abubakar Ame "Luiz" (Mlandege)
Issa Haidar "Mwalala" (JKU)
Abdulla Kheir "Sebo" (Azam)
Ibrahim Abdallah (Taifa ya Jang'ombe)

VIUNGO
Abdul-swamad Kassim (Miembeni City)
Abdul Aziz Makame (Taifa ya Jang'ombe)
Mudathir Yahya (Singida United)
Omar Juma "Zimbwe" (Chipukizi)
Mohd Issa "Banka" (Mtibwa Sugar)
Amour Suleiman "Pwina" (JKU)
Mbarouk Marshed (Super Falcon)
Ali Yahya (Academy Spain)
Hamad Mshamata (Chuoni)
Suleiman Kassim "Seleembe" (Majimaji)

WASHAMBULIAJI
Kassim Suleiman (Prisons)
Matteo Anton (Yanga)
Ali Badru (Taifa ya Jang'ombe)
Feisal Salum (JKU)
Salum Songoro (KVZ)
Khamis Mussa "Rais" (Jang'ombe boys)
Mwalimu Mohd (Jamhuri)
Ibrahim Hamad Hilika (Zimamoto)

Insert kikosi cha zanzibar heroes ..?

Kocha mkuu wa Soka la Zanzibar Hemed Suleiman (Morocco) mbali ya kutangaza kikosi cha timu ya Taifa kwa Wanaume pia leo ametangaza kikosi cha Wachezaji 20 wa timu ya Taifa ya Zanzibar kwa Wanawake (Zanzibar Queens) ambayo inatarajiwa kwenda nchini Rwanda kwenye Mashindano ya CECAFA Woman Chalenj CUP yanayotarajiwa kufanyika muda wowote mwezi huu.

WALINDA MLANGO
Salma Abdallah (Green Queens)
Hajra Abdallah (Jumbi)
Mtumwa (New Generation Queens)

WALINZI
Hawa Ali (New Generation Queens)
Mtumwa Khatib (Women Fighter)
Aziza Mwadini (New Generation Queens)
Flora Kayanda (Jumbi)
Safaa Makirikiri (New Generation Queens)
Neema Suleiman (Jumbi)

VIUNGO
Mwajuma Ali (Jumbi)
Nasrin Mohd (Women Fighter)
Riziki Abdallah "Chadole" (Jumbi)
Aziza Ali (Jumbi)
Sijali Abdallah (Green Queens)

WASHAMBULIAJI
Mwajuma Abdallah (New Generation Queens)
Shadida Abdallah (Women Fighter)
Neema Machano (Jumbi)
Dawa Haji (Women Fighter)
Sabah Hashim "Mess" (New Generation Queens)
Greece Ronald (Green Queens) 
Kiupande wake nae katibu mkuu wa chama cha soka Zanzibar mohd aliy hilali teddy amesema timu hiyo taifa ya Zanzibar itakaposafiri itaondoka na muandishi wa habari ili kutoa taarifa za timu hiyo kwa wazanzibar pia  teddy ameweka wazi suala zima la kuwepo kwa mashindano ..
Kamati inayosimamia mashindano ya Kombe la Mapinduzi (Mapinduzi Cup 2018) inaendelea na matayarisho ya michuano hiyo huku timu 10 zinatarajiwa kushiriki msimu huu.
Mashindano hayo yatashirikisha timu 3 kutoka Tanzania Bara ambazo ni Azam (Mabingwa Watetezi), Simba na Yanga ambapo Unguja zitashiriki timu 4 ambazo ni JKU, Zimamoto, Taifa ya Jang'ombe na Mlandege huku timu mbili kutokea Pemba Shaba na Jamhuri na timu moja kutoka nje ya Tanzania bado haijajulikana lakini itatokea Kenya au Uganda.

Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza rasmi mwishoni mwa mwezi Disemba na fainali itapigwa Januari 13, 2018.

Wajumbe wa Kamati wanaosimamia Mashindano hayo Mwenyekiti ni Sharifa Khamis, huku Makamo Mwenyekiti Gulam Rashid, Katibu Khamis Abdalla Said huku Wajumbe wakiwa Issa Mlingoti Ali, Dk. Ally Saleh Mwinyikai,  Ali Khalil Mirza, Khamis Mzee Ali, Ravia Idarous Faina, Ali Mohammed, Mohammed Ali Hilali (Tedy) na Juma Mmanga.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top