Akizungumza na kituo hiki afisa mfawidhi wa SUMATRA mkoa wa Manyara Nelson Mmary amezitaja bei anazopaswa kulipia abiria,Kwa Babati-Singida nauli ni shilingi 5,900,Babati-Dodoma shilingi 13,800,Babati -Arusha shilingi 6,000,Babati-Katesh shilingi 2600.
Pia Sumatra imewakumbusha madereva na makondakta kuvaa sare za kazi pindi wanapokuwa katika majukumu yao.
Post a Comment
karibu kwa maoni