Uamuzi huu umechukuliwa baada ya Benki Kuu ya Tanzania kujiridhisha
kuwa benki hizi zina upungufu mkubwa wa mtaji kinyume na matakwa ya
sheria ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2006 na kanuni zake.
BOT imesema upungufu huu wa mtaji unahatarisha usalama wa sekta ya fedha na kwamba kuendelea kutoa huduma za kibenki kwa benki hizo kunahatarisha usalama wa amana za wateja wake.
Hii imetokea ikiwa ni siku moja tu tangu Gavana wa Benki Kuu Tanzania Prof. Beno Ndulu akabidhi ofisi kwa kumaliza muda wake na Gavana mpya kuchukua madaraka.
Soma taarifa yote hapa chini

Post a Comment
karibu kwa maoni