0
 Rais John Magufuli leo ametumia zaidi ya saa nne Ikulu kusikiliza kero mbalimbali za wafanyabiashara ili kuzipatia ufumbuzi.
Wakakati akizungumza,Waziri wa Kilimo, Dk. Charles Tizeba na Waziri wa Mifugo, Luhaga Mpina pamoja na makatibu wao wamekosekana kwenye Mkutano wa Baraza la Biashara Ikulu Dar.
Waziri wa Kilimo, Dk. Charles Tizeba
Waziri wa Mifugo, Luhaga Mpina
Rais alihoji  "Wote walialikwa Waziri Mkuu?, wote mliwaalika na hawakuja, aya vizuri nimepata angalau wa kuuliza maswali baadae".

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top