Mwili wa Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Babati vijijni Edna Edmund aliefariki ghafla jana akiwa ofisini kwake unaagwa leo kuelekea Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma kwa ajili ya Mazishi.
Viongozi mbalimbali kutoka Manyara na nje ya mkoa wanatarajiwa kuwepo katika kutoa rambi rambi zao.
Post a Comment
karibu kwa maoni