RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE. 5:10:00 AM w 0 Habari moto Kimataifa, Habari moto kitaifa A+ A- Print Email Rais John Magufuli amemteua Dkt. Edmund Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania(TPB). Dkt. Mndolwa anachukua nafasi ya Prof. Letice Rutashobya ambae amemaliza muda wake.
Post a Comment
karibu kwa maoni