0
Wafunga buti wa mji wa Babati timu ya soka ya Usalama wamepokelewa kwa shangwe mjini Babati mkoani hapa baada ya kuwasili wakitokea
mkoani Kilimanjaro ambako walikuwa wanashiriki ligi ya mabingwa mikoa (RCL).

Usalama sc wamepanda ligi daraja la pili Tanzania (SDL) licha ya
kushika nafasi ya pili katika kundi D ya ligi ya mabingwa mikoa (RCL) nyumaa
Sahare All stars ya Jijini Tanga ambao wameongoza kundi hilo kwa alama 11.
Hii hapa ni video nzima ya tukio hilo.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top