0
Image may contain: one or more people and people sitting
ANARIPOTI GHAROS RIWA KUTOKA DAR ES SALAAM:
Wadau wa vyombo vya habari leo 13,February,2017, wanaadhimisha siku ya Redio Duniani ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyikia chuo kikuu huria cha Tanzania Jijini Dar es salaam.
Kaulimbiu  Mwaka huu ya  maadhimisho hayo" Radio is you:role of the media in promoting development" tafsiri isiyokuwa rasmi," Redio ni wewe: Kazi za vyombo ya Habari katika kuchochea Maendeleo" .
Image result for RADIO
Aidha wadau wa vyombo vya Habari kutoka katika Redio za kijamii Tanzania waliokuwa katika mafunzo ya wiki moja katika ukumbi wa VIP uwanja wa taifa wamejumuika na walimwengu wote katika kuadhimisha Siku Hiyo,

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top